HUYO NDIYE VICTOR PAUL CHIWILE ALIYE KUWA MKUU WA WILAYA YA LIWALE-LINDI KABLA YA MAUTI KUMKUTA. AMEFARIKI ASUBUHI KATIKA NYUMBA YA WAGENI..VISION HOTEL MJINI LINDI
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
kila la kheri mungu akuwepa mahali pema..... tulikupenda yeye kakupenda zaidi.
ReplyDeleteJe alikuwa anaumwa au ni ghafla? mungu ametwaa jina lake lihimidiwe...
ReplyDelete