Hatimaye
Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya
ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba
hiyo ambayo ipo maeneo ya Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu
takribani Tshs 1.5 Billion na imejengwa na kampuni ya Pacha Building
Construction Company. Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani
hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.
Tags
Kutoka Bungeni
