AVB MASHAKANI STANFORD BRIDGE

image Taarifa zimezidi kuzagaa kuhusu hatma ya AVB ambaye wiki kwa mara ya kwanza amekiri anaweza kufukuzwa kazi.

Lakini mbrazil Luiz anasema Mreno huyo amekuwa akionewa, pamoja na Chelsea kuwa nafasi ya tano katika ligi, na wakiwa katika hatari ya kutolewa katika champions league.

"Msimu uliopita, kulikuwa kuna timu ambazo zilikuwa nafasi mbaya katika msimamo lakini hakuna aliyezungumza hilo. Ni rahisi sana kuongea kuhusu AVB, kwa sababu Chelsea ni timu kubwa ambayo siku zote inatafuta nafasi ya kwanza na inapotokea ikiwa ya 3 au ya nne ni inakuwa rahisi kumpa lawama kocha. Lakini Andre ni mtu tofauti ana kila kitu kama kocha, ni mtu sahihi kabisa kwa Chelsea ana ataipa mafanikio makubwa klabu hii."

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post