AMBER ROSE AMKUBALIA WIZ KHALIFA!!!!!!!!

image hii ndio picha aliyoiweka rapper Wiz Khalifa kwenye page yake ya twitter march 1 2012 baada ya Amber Rose kukubali kuvishwa pete hiyo ya uchumba, kwa sasa Wiz Khalifa ana umri wa miaka 24 na Amber Rose ana 28 ambapo umri kwao sio tatizo, bado wanataka kuishi pamoja kama mume na mke.

Pamoja na kwamba Amber Rose amekua akishutumiwa kupenda kuwa na uhusiano wa kimapenzi na watu maaarufu huku akitajwa kuwa mapepe pia, Wiz Khalifa bado anazidi kudhihirisha kwamba Anampenda sana, na anaenjoy kuwa kwenye mapenzi yake.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post