Mwanamuziki wa Tanzania Lady jaydee anakaribia kuachia kibao chake kipya ambacho ameshirikiana na Mwanamuziki Oliver Mtukuzi kama Picha ioneshavyo hapo juu wakipafomu pamoja katika moja ya shoo zake. Usikose kuisikiliza hiyo.
Tags
Kibao Kipya Bongo