FIRST ELEVEN YA BONGO FLAVA TEAM

image

Hicho ndicho kikosi cha timu ya waimbaji wa Bongo falva nchini Tanzania ambacho hucheza mechi mbalimbali za kirafiki na karibuni wamecheza na Kombaini ya dodoma wakala kichapo cha bao 2-0, Mbele ya Mgeni rasmi Mh. Mbilinyi Joseph.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post