Usiombe kusafiri wakati wamvua njia ya Kibiti Lindi ni tabu tupu hapa ilitubidi tushuke ilikujua nini kimejili kuzuia magari kupita ilikuwa majira ya saa sita mchana.
Haya ni baadhi tu ya misululu ya magari niliyo fanikiwa kuyapiga picha kwani msululu ulikuwa mrefu sana ingekuwa ni moving camera ungeshuhuduia.
Dah yaani usishangae hilo ndilo shimo lililo zuia magari kuto pita katika barabara hiyo, ukiliangalia ni kama dogo but duh ni hatari sasa usiombe upite usiku hulioni na unazama hutoki mpaka asubuhi.
Tulipata msaada kutoka kwa mkandarasi wa barabara hiyo.
Baada ya muda kupita Na hatimaye magari yalianza kupita hapo ndipo palikuwa na tatizo lingine kila mtu alijifanya anataka kuwahi duh usipime ndugu yangu.
Maoni: Kwanini Mkandarasi asinge anza kutengeneza sehumu korofi na kumalizia sehemu za kawaida ili kuondoa adha hii ya usafiri katika kipindi hiki kigumu cha mvua?
Tags
Mavuji-Nangurukuru





mhh hapo kweli mkubwa lazima ujishauri kusafiri kwa kipindi hicho
ReplyDeletedu kiukweli waimalizie
ReplyDeletethings like these are the one to be posted..,big up bro...,gud idea...!
ReplyDeleteya good idea mkubwa
ReplyDelete