Hapo unapata vitu mbalimbali vya electronic pia ni ma bingwa wa wauzaji wa Kanda za Filamu za Bongo na Nje Wanapatikana Mtaa wa Sheikh Badi, hapa hapa Mjini Lindi. Karibu ujichagulie Filamu mpya, Kuwa mzalendo kwa kununua bidhaa za Nyumbani.
Bei zao ni Nafuu sana
Tags
Almazrui mixer Shop
komaaaa dogo
ReplyDelete