Up coming weekend in Club P

Zitandondoshwa kopo za ukweli kutoka kwa ma Dj wakali wa Lindi Kama kawa Dj Derick Morgan, Ngwena Bila kumsahau Dj Kizo atakuwa ndani yanyumba kukupa burudani itakayo konga nyoyozenu. Munakaribishwa wote.


Kiingirio ni kama kawa : Tsh 5000/=

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post