UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WAANZA DAR

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi – INEC  imeanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura  Kwa Halmashauri za  Mkoa wa Dar Es Salaam kwa muda wa Siku Saba kuanzia  leo Machi 17 hadi 23, 2025.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post