Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Mashujaa Fc, kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam
Wananchi sasa wanajipanga na mchezo unaofuata dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa Ijumaa, Februari 28 katika uwanja wa CCM Kirumba