Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Marioo, ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao "WHY". Wimbo huu ni namba 14 katika albamu yake ya hivi karibuni, "God Son".
Video ya "WHY" ilitolewa chini ya lebo ya Bad Nation Records, na inapatikana kwenye chaneli rasmi ya YouTube ya Marioo.
Tags
VIDEOS