YANGA YAICHAPA KAGERA SUGAR NA KUISHUSHA AZAM FC KILELENI

KLABU ya Yanga imeendeleza ubabe kwenye ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 kwenye mchezo ambao uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Yanga Sc imepata bao kupitia kwa nyota wao kinda kabisa Clement Mzize ambaye alipokea krosi nzuri kutoka kwa Feisal Salum katika kipindi cha kwanza cha mchezo na kuisadia timu yake kuibuka na ushindi huo muhimu.

Yanga Sc iliwapumzisha baadhi ya wachezaji wao akiwemo Morrison, Bangala, Aucho na Moloko na kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao mara nyingi huwa hawachezi mara kwa mara..

yangasc-315200383-676524107152317-4332838432400928081-n yangasc-315643667-795703121523042-1291402548224824623-n yangasc-315141782-154745267257842-2191146899318695023-n Soccer-Table-Graphic

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post