MASHABIKI WA SIMBA WAMKATAA KOCHA MATOLA

Mara baada ya kumalizika kwa Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Simba Sc dhidi ya KMC ambao umeisha kwa Simba kulazimishwa sare ya goli 2-2.

Mashabiki wa klabu ya Simba wamepata sauti zao juu ya kutoridhishwa na kocha aliyeshika majukumu ya kusimamia kikosi hicho Sulueiman Matola baada ya kocha mkuu Zoran Maki kuondoka.
 
STORI KAMILI INAPATIKANA KWENYE APP YA WATANI WA JADI I-DOWNLOAD PLAY STORE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post