BAADHI YA WACHAMBUZI WETU KICHWANI KUNA WAYA UMEKATIKA

 

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Wachambuzi wetu kukosoa sana wachezaji wetu wa ndani kwa mambo mbali mbali lakini utashangaa kuona mchambuzi huyohuyo anaweza msifia mchezaji mwenye sifa za kufanana nae ila kwakuwa tu anacheza ligi tofauti na huyu wa nyumbani.
 
Kuna mahali baadhi ya wachambuzi wetu kichwani kwao kuna waya umekatika, kuna muda walikuwa wanatupa sana vijembe kuwa Dickson job "The shark" ni mfupi hafai kucheza mlinzi wa kati, lakini leo hii wachambuzi hao hao wanamsifia mlinzi wa kati wa Manchester United Martinez "the butcher", kuna namna Job tulimkosea sana !!.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post