RATIBA YA MECHI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO HATUA YA 16 BORA

RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili 28 hadi Mei 02, kama ifuatavyo.

28/04/2021

Rhino Rangers vs Arusha FC.

29/04/2021

Biashara United vs Ruvu Shooting.

Azam FC vs Polisi Tanzania.

30/04/2021

Mwadui FC vs Coastal Union.

Tanzania Prisons vs Yanga SC.

01/05/2021

Dodoma Jiji vs KMC.

Simba SC vs Kagera Sugar.

02/05/2021

JKT Tanzania vs Namungo FC.

Awali mechi hizi zilipangwa kuchezwa kati ya 2-4 Aprili lakini ziliahirishwa kupisha kipindi cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post