VIDEO: VUNJA MBAVU NA HII COVER VIDEO YA “MUZIKI” ILIYOFANYWA NA JOTI

JotiMchekeshaji Joti ameamua kuja na Cover ya Video ya wimbo wa Muziki wa mtu mzima Darassa CMG.

Kama ilivyo kawaida ya mchekeshaji huyo, viituko ni asili yake, ndio sababu nikaona nikuletee hii uweze kuenjoy nayo.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
 ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post