Legendary wa muziki wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes ameendelea kulibakisha jina lake kwenye list ya wakongwe wachache ambao wanaendelea kukinukisha kwenye game hadi leo.
Hii imedhihirika baada ya kudropisha ngoma yake mpya ambayo kaipa jina la Yono.
Kama ilivyo kawaida huwa hatukubali upitwe na chochote kinachohusu burudani, ndio sababu kuu ya kukuletea hii Video ya Wimbo huo karibu yako.
Kama ilivyo kawaida huwa hatukubali upitwe na chochote kinachohusu burudani, ndio sababu kuu ya kukuletea hii Video ya Wimbo huo karibu yako.
Enjoy
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.