Ilikuwa ni Usiku wa manane mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz aki-stream live kupitia Mtandao wa Picha wa Instagram na Kupiga story na mashabiki wake.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Diamond akaona sio kesi aweze kuwaonjesha japo kwa kiasi kidogo tu ngoma yake mpya ambayo haijaachiwa Rasmi, wimbo huo unaitwa "BAILA".
Kama ilivyo ada hatutaki ukose hata kitu kimoja tuliweza kukinasa kipande cha wimbo huo. Chukua muda wako kuisikiliza kwa kuplay hii video hapa chini.
Kama ilivyo ada hatutaki ukose hata kitu kimoja tuliweza kukinasa kipande cha wimbo huo. Chukua muda wako kuisikiliza kwa kuplay hii video hapa chini.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA WASANII