![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuFH64Azkm6y9qtEvL7wUR3m3UWsonpwIZHOK4TN47dBCiMBdoNiQc0qEHYmDW8br9LPfMTRJRpqDKjmjXMjMxqQB09jduWkA_6y-3YiNknCYiHOyV296NBFWhvVUbRcsS5EGjz4HLFDM/s1600/Mshindi.2.jpg)
Mshindi wa Shindano la Miss Lindi 2014 Elizabeth Eliudi akiwa anashnangilia usindi huo Baada ya Kuwashinda washiriki wenzake 9 walioshindania taji hilo kwa mwaka huu wa 2014 hii ni baada ya kutangazwa na Mtayarishaji wa Mashindano hayo kuwa ameshiinda.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqonJXQ6knnKVJWiIAlc9QbIH_TQ2FFxVhmeo_EbNMFB78iwwPy0plcxHBBnHY1M5mAdfQ1V1uspceb0Y3JBIZsUxiljGtXYIekGCV_Fbe2B_PfAgqhSwpiP2WhPDMKT5HgQuU-hAsY-o/s1600/Mshindi.4.jpg)
Mshindi wa Miss Lindi 2014 akiwa na mshindi wa pili na watatu katika picha ya pamoja ndani ya Ukumbi wa Lindi Oceanic Hotel wakati wa Kumtafuta Mshindi wa Miss Lindi 2014 Usiku wa Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfS4_VzTqrS9012aigsFRVPW-yIt2AKkOCxTAqYQKoIeUCQ_5zkjRMgIWDzYm6lcVsPeR3nYFe4n2jdbAwzfMBsiuV4nzmGXem52xAERH83-7pTmKKEMu43QO-IgbXeniCiZQMI1K5i24/s1600/waandaaji+wa+Miss+lindi.jpg)
Waandaaji wa Shindano la Miss Lindi 2014 wakitoa maelezo ya awali kuhusiana na Shindano hilo Usikuwa Tarehe 6/6/2014 katika Hoteli ya Lindi Beach Resort
Elizabeth Eliud Mfanyakazi wa mamlaka ya maji safi na taka Manispaa ya Lindi ameibuka mshindi katika Shindano la kumtafuta Redds Miss Lindi 2014 baada ya kuwashinda washiriki wengine 8 walioshiriki katika Shindano hilo lililotoa wawakilishi watatu watakaoshiriki katika shindano la kanda ya Mashariki iliyo na Mikoa ya Pwani, Morogoro, Mtwara na Lindi
Elizabeth Eliud Mfanyakazi wa mamlaka ya maji safi na taka Manispaa ya Lindi ameibuka mshindi katika Shindano la kumtafuta Redds Miss Lindi 2014 baada ya kuwashinda washiriki wengine 8 walioshiriki katika Shindano hilo lililotoa wawakilishi watatu watakaoshiriki katika shindano la kanda ya Mashariki iliyo na Mikoa ya Pwani, Morogoro, Mtwara na Lindi
Katika shindano hilo lililofanyika jana kwenye uwanja wa Hotel ya Lindi Beach Resorts Mjini Lindi ambapo mbali na Ushindi huo alifanikiwa kujinyakulia kitita cha tshs laki Tatu zilizotolewa na wadhamini sambamba na us dola 100 na Tshs laki 3 zilizotolewa na
Kampuni ya Meis Cement inayojenga kiwanda Mjini Lindi.
Katika shindano hilo Nafasi ya pili ilichukuliwa na Amina Sangawe ambaye aliambulia kiasi cha shilingi laki 2 na US dola 50 huku mshindi wa tatu Lilian Andrew akipata shilingi laki moja na Nusu na US dola 50 zilizotolewa.
Shindano hilo lilipambwa na wasanii mbalimbali akiwemo Mwanamuziki Mahiri nchini Barnaba lilishuhudiwa na wakazi wengi wa mjini Lindi.
Akizungumza mara baada ya kuwatangaza washindi hao, Mratibu wa Miss Lindi, Uncle Justin Mrope licha kuwashukuru wakazi wa lindi kwa kujitokeza kwa wingi pia alitoa wito kwa baadhi ya wazazi wanaopinga uwepo wa mashindano hayo kwa kutumia kigezo cha Uhuni
Aidha Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Cement cha Meis Lindi Bwana Pyana Mwandembwa kwa niaba ya kampuni hiyo ambayo ilitoa udhamini wa mashindano hayo alieleza furaha yake binafsi kwa kutoa zawadi yake na ya kampuni kwa washindi watatu wa shindano hilo iliyotolewa na Mkurugenzi Meis Lindi, Merey Balabou
Washiriki wengine walioshiriki shindano hilo ambao ni Grace Denis, Zena Masanja,Tina Morris, Leila Abdul, Rehema Richard na Acqrasher Severin kila mmoja alikabidhiwa kifuta jasho cha tsh laki moja toka kwa wadhamini wa Shindano hilo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9bc8-ec-Ku8flQ40Nx6o_PF8xzX0Uu6KROHMrK_Qoio1JEJ9SWuIU9dju2hvx1O3iDwTkFCU2RquEHHjr8hncmzyjNedh1S4icDcWZ_1fNXvItIZ2lDjVJKOq1Jr6KdznuQY1ZWauIYw/s1600/Mtangazaji+wa+Pride+radio.jpg)
Mshereheshaji katika Shindano la Kumsaka Mrembo wa Lindi kwa Mwaka 2014 Sospeter Magumba Mtangazaji wa Kituo cha Radio Pride ya Mtwara akisherehesha shughuli hiyo ndani ya Jukwaa la Miss Lindi 2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh7LvJ7KP8gVrW98iUza2JfJQ_17eA8GLvPQbHDDbt8qdZxST_Z6nKRPIQqPqj9pW46mH9i0ZxTwyB0Y07xuY1ZQyC9W3IkXPGAxZcEDJUGw-iv4haNrUnYUNlw-WVO-4w7rzKmGpekcCc/s1600/Warembo.2.jpg)
Washiriki walianza Kupita Jukwaani kwa mara ya Kwanza kwa kuonyesha show ya ufunguzi kwa kucheza nyimbo mbali mbali
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqTErwWU7gTo4GxWmiB_Z2f44OUfDOtyvpkpVv8nVnbLkRihOa1OJH7bDE82g8pO5ts9UGMTQysUGDKNiXXyXVyyRErrXtm-dpdZW_lYL7hiz7907mqshh4MB8jw2HN3dVRXKQBYZJCjw/s1600/Warembo.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3W1VMzdByYwxeVvUr3gLaDmzV4KDcH99K2xag_ZQAY3XPMGii4Vw3oNupxzPROGMu912TGenVHjaaHv6SetwopZk9AesySuDLp2ow7698Ss8yp-WNu1OPq1-lbrJVmslnwAM3ChsFhXY/s1600/wadau.2.jpg)
Wadau wakishuhudia Show ya Ufunguzi ya warembo wanaosaka Taji la Miss Lindi 2014 lililofanyika siku ya Tarehe 6/6/2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDJr8v1LJ59DtH4DlN7kk0AIl-zW2GccobR18OYhgfkOpxJ1c5unGdtixzg9JIicGBtxpCM5_0BHSE5UaroQFXsBVXNr_UwRAOrCyZBrTuopiJZCxTEcz4ls0FZwnC3-1xSELLSH1DsAE/s1600/wadau.3.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiKat9VUU5Tn0vdqjOF2AU5Zri86dy9J_7GBdic5Ua1Aw8OLHhTNouw-_g0hXXj9upmH7NKJTbx8783pK8WxN9CVsW9sIunJz5U8CFeq808l2_CbJH4jYgr1iaeQPUiRKFu1M2hjTptRA/s1600/wadau.4.jpg)
Wadau wakishuhudia Show ya Ufunguzi ya warembo wanaosaka Taji la Miss Lindi 2014 lililofanyika siku ya Tarehe 6/6/2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel.
WAREMBO WALIPITA JUU YA JUKWAA HILO KWA MAVAZI MATATU TOFAUTI VAZI LA UBUNIFU, UFUKWENI NA JIONI
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2tsiJlfan2hhB5SeDjgknHPykt6eUQ1zxIhIAK-sltWb6D1A9Sln73QI8-ZJEFQVYfvzTtiE88_vw05KRxqi2hREJMHnbKUZ-jZwIlpTv2GtbGWmd-Rz_wV2dl54dunSI6Dy_1Vc5dvc/s1600/Mshiriki+namba++1.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 1, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiVTtBPU7kTIKjaU-qpUzntyFMhSVS7X1Faiq6DbesWMDCnjz0vK9PUqqKc4nPTB9BhlbgUzAwxbiyJegDKhXWSCcFR7rWl0PqBfMaPb4wNskNZnBYJR5FR0UmVXSAn0FPC-r2VbLjFqo/s1600/Mshiriki+namba+2.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 Namba 2, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6lGdF-LsWhiNYE8VMnqsZJtbWyTstacWzr6nD10seLSlv3dRWAgfNgCG8urspSWDDiakRyihZqjJXen6iT1cRA60y10PkD-YJr1vNZtrUGLW_EEOC0lUk8kxpgAOYYWCIJE3wk5KkWlI/s1600/Mshiriki+namba+3.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 3, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm4R28b-ePXnDN5-xR09C_pRTX82BBxuZpJtfgpeNrvG4D2qN5A45d2fMoNxcVaJhn8hh96oT59jfJ846ffmIypsiSy2nuDQn4RBAsD9ATkTM6Ee6ndaxVhSOUNntskJnOwAcUpTk7aog/s1600/Mshiriki+namba+4.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 4, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiS_vDW91gpFVVZPZWoEjEMssSFRbxGMPVBAfs93PmnriKbeOTZk-zTVgr-m5I5drdvbXnzkeUGa1O2NVO7lUt0QUR8pmNiaGtOk1uITj2EGrYjLyemvJt3med-xKlid-h9CQuyunvc2Wg/s1600/Mshiriki+namba+5.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 5, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMXSe-sVx64HMNfzwrgnnV7pG0Hue60Q3mVhuoJvoKqiHmGu7DhPP_7Z8gNfNzeiNfqhJHzG5WdnaoftrgrLb3LV1CVZCBX2LGVZJxtZHv_UN0lakSa1suOAHOLizz_eY5bST_V4ismm4/s1600/mshiriki+namba+6.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 6, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014 .
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHmZf0HFVVJbLstiKU7Q1yvWultjCd4wghx3DbNa-mIX4eb2cO0H6oVk1YWKmzFW5hWUKm_bUYA1g6FPZp_bhPRugGIyxIX6ggsLwLYfZLl9ZKGCAkSPwgt0yPzsncyHc2jt_53VLX_ws/s1600/mshiriki+namba+7.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 7, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiU3leyHAIXK6DqXt19Fu3piw6rq9P_9-t1ws8ZAPAT8sJko2_35eK1B0SAm0OqCjlfg49maqhrsS19qrWtOmdDKq6FIbgl80WGLQJL4LHBgCjfcZFs0W76SDXvq4yHqMpFrlKeTT5ZF48/s1600/mshiriki+namba+8.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 8, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIdaVqgQZJqPNhDrYnY5w6Mer84dJPKBsBb1YhbWIxxi4kB5MMQdetrTERJajXPlO37jXWe-zVy1ejjU9VzN1PkwYhWwp8UYu8Dnqe3ewJEAxAYj7EBgLJGxYL7dNEjzPzvSbipNlzdeU/s1600/mshiriki+namba+9.jpg)
Mshiriki wa Miss Lindi 2014 namba 9, akiwa katika Mavazi ya Ubunifu (lakwanza kushoto) Ufukweni na Jioni katika Kusaka Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel siku ya Tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6TxzGXDFlQpsokpUXZS-HyUFED2v1z35GDpXg2TL4voB63NJE9UWQILUEGicERBiTw9Itdvs73BIXRA1MSvqsJJMcXxWmOMHSoEl3RntnH8CPN7aIU0VQDJDdG1jRi3PJln_mdmR9yOI/s1600/Majaji.jpg)
Majaji wakiwa Bize kumtafuta Mlimbwende yule mwenyesifa na mwenye kukidhi vigezo vilivyowekwa ili kunyakua Taji la Miss Lindi kwa Mwaka 2014. Shindano hilo lilifanyika ndani ya Hoteli ya Lindi Oceanic Hapo Jana.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKKHmtaef3PihEjU9INpl9HXZLbSdnh56oqHBBhODxsGrMlt7QwH1uUKuJJ_oposQCNnkgHvsUo4XH5P8pVBMDeCIz4y1kGX2VpMXdddewPzDKidJCqJvd1IB0HgdpnzV-V1Icb4UulSk/s1600/Mgeni+Rasmi.jpg)
Mgeni Rasmi akiwa na Afisa Utamaduni Mwl. Chowaje Upande wa Kushoto wakifuatilia Kwa makini Mashindano ya Kumtafuta Mlimbwende ambaye atanyakua Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Hoteli ya Lindi Oceanic.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8xoJwjTJTmqpeiEQR9U5Q1f-yyMIVVFYzwWiBV8rlZQ-mPwP5u7Dn_KQZWEMGCImi1F-Df3prr1NA8buWUYI0WNUVWiiLXlO-Y6M9B5fXW04ddSbBJDLAoybJ4b5OR3Wn6W4V98FM6XA/s1600/Barnaba+Classic.2.jpg)
Msanii Barnaba akitumbuiza katika Shindano la Kutafuta Miss Lindi 2014 katika Ukumbi wa Lindi Oceanic Hoteli Mjini Lindi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzOStsaT3_K_N7T4c_H9LeN1YLOFf5Zh3SRjbgLz_TK1tzglwH2TnvMAvnulgXSVKnRrC4p_OAqCTCPOlz30zfWj5kjewL32LmcDmGQ35RgswF5TwtWO_g4KetWICPa9s9uKOKV8ewbJw/s1600/Barnaba+Classic.3.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLDi1ZTdzUb70KWE7jTlvcMOKAhx-b2JO2aBA4Sr96UllxAn6iF-aka4S_tsz95MSp_s_v_4grAbYKYXiniikb1vo-XzsD7ZbDV8blKYQdOVD_7isDxBr9AD9maY4NXYOX67Ay5fKC3JE/s1600/Barnaba+Classic.jpg)
Msanii Barnaba akitumbuiza katika Shindano la Kutafuta Miss Lindi 2014 katika Ukumbi wa Lindi Oceanic Hoteli Mjini Lindi. Siku ya tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsLEepkXT7Lm-syUlmzPRuU916HQ2Cc8IkuwdQfMHE6Ju1N84EC1-jNU_4_7S2tSO6JwgIhOOVi-14FdeYyfucbhW8auXNVhp_S06fe1nubUzrVfRebCWTcLjVGseHmjHBBEOsEGaF5H4/s1600/Warembo+Mbunifu.jpg)
BAADA YA BURUDANI HIYO MREMBO ALIPANDA JUKWAANI KUONYESHA UBUNIFU WAKE NA HUYU NDIO ALIYEONYESHA UBUNIFU WA KIPEKEEE
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi2uSsqRTOaj7x_YnKc0oUTK1Rc_6L04lxHTRFkktXuJ3jV1WQwXa6u1HmgChZEo2ef7Chwa0xaHhFkHqrhRTWLFzqVHhUPIds2s-zILjHt6raTSHUhGi80pBMtImwFS89AMgIsIXybPw/s1600/Warembo+Mbunifu.2.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU0sQtQgULqexs4xGc_nTyLTsSsa_OyYem35Rdu8cuzwPeJbTBR8kMSK72rPyyDYzuZbk4tS9hGnx2_fYxBD_yKKEPMCpwt6icYlgoUO2S_da1cB3poc6AtstTwdEoSXmhISmgT89MIXE/s1600/Warembo+Mbunifu.3.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3LOzk_W4hGcRfF6JOW2QVs5dHNCpuCa9D-IFCnySwOmrvG6E6XC8hAvGsGbto6SI5evAr4KPeVUFQBGk9WxL17_q57c2IhVhLe6vAd8OISOo-W1NEgonzsEon59zyRlfLAbK9jFH6TKU/s1600/Warembo+Mbunifu.4.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9U1sIVXP3wRb9GsFoZEjVtFgiXAM4eaPZluo5NPdFrzEJ64CwlSsMyYpu_xzOanAJVcuCrinq5URyG4BI6VBljp8no8jFashqwzrmFjuLTdpZt5nzrrqqbF5b9gYad6kZzGbMRG36u34/s1600/Majaji.2.jpg)
Mmoja kati ya Jaji aliyehusika kuwateuwa tano Bora ya warembo walioshiriki Shindano la Kumtafuta Mlimbwende atakaye Shinda taji la Miss Lindi 2014 na Kuwakilisha Mkoa wa lindi kwenye Mashindano ya Kanda ya Kusini, akisoma Majina hayo matano ya warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya Tano Bora.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhK7Zn0ZcU74-dYga7tkLenKsXV2RU1J8ee8uccJylAlZvzNLct2W7kbaEqy_1yV0Thz_7H-mgpCdZv_sNMCnNELoZ5R6618KAxam3KLE9Jep1L-5ufR_G97T8i9ICjiP81rb2VtexuiVk/s1600/Warembo+Tano+Bora.jpg)
Warembo waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya tano bora ya Shindano la Kumsaka Mshindi wa Taji la Miss Lindi 2014 ndani ya Hoteli ya Lindi Oceanic mjini lindi tarehe 6/62014.
BURUDANI ZILIENDELEA BAADA YA KUTANGAZA TANO BORA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijij6toxgn_6por6YcBAOcHeE8xgHlqHS3qnQsl_v2fDf_t1ybgaSecwxrZaEKtymvvS_2tv9KngYxCjs6atvd_j6vKvT1bv-sSg7b386VYtKeRvH72p1nh53pNFmqn8k6wZRAsMzg3Ag/s1600/Msanii+Akicheza.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5FM905U9-_FvB2gQ2VAj0uQNUs07j1BYPpRfbf8UYHPZ6csgw8IH7gEsijI3TXyNj6BKU16Pc3v3x14IlOHnJJS1taqxIqNXs9GTgsz2WAPcePiqDgh-LbQQmNZt3brUq33UeuvpRzrI/s1600/Msanii+Nasozi.3.jpg)
Msanii wa Kizazi Kipya wa Mjini Lindi Nasoz akikonga Nyoyo za Mashabiki wake wakati wa shindano la Kumtafuta Miss Lindi 2014 katika Hoteli ya Lindi Oceanic tarehe 6/6/2014.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihWQJEFtcEMl_hyvST_7O2_psSZz_Ns0OOlmQxnpzacK5KEd4Ss9bcZ-nlfN1b1h-uU7jr8us2xzTRhD3PYe2B8sFT6Q9Dvn8HUQOjY9XYcQ3mgL-2sf77jFVnYNw4h1B8z23YUqaQmpc/s1600/Msanii+Nasozi.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitwj1vyexb4biKoC_A7mDtl9ibhb6VZJoAEBEsOSSvEQe20W9NmZbIZ4JPORhBM7pKbK1pCsYSoGSDl4-fIJAynamq0ARdybpCzUVOEPTb1Ju-t3J3GyisGC6yRTKYPY-LztOTeamvgwk/s1600/wadau.9.jpg)
Wadau wakiwa wanafuatilia kwa makini Burudani iliyokuwa inatolewa na Msanii wa Nyumbani wa Lindi Nasoz juu ya jukwaa la Miss Lindi 2014 tarehe 6/2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgS3z5gckTr51nJ0XlRMhzHdXNlRtQWZb7MAJOgnKjKqUr47nd9KnpsEmzWraWbboYSTbzh5YFRhXuv3fvXVeXA3147u_dvM377enq_fiuCgA2zchvQLaS0MlpPMVJNIQPSsUriWBQCpzQ/s1600/wadau.10.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsJUQisE-j9QVIhFH1blARb_JTZsHnVcR-zYuimmgyaKgXLzoD9Qsim7HCgN6iaPgAzPtTCvffG_5ELNoXlvMnLvhbu1qnQNkkVdQVTJpTn_WdBt8mG3fflDoYz2xrRexx8_vigTXk3_4/s1600/wadau.11.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOim9jkwoUU7Sh0luN-AhT1w88XzNu4PaPCa-zeN1x-ghD7sMM-Gw0BSo-Puzhcr10-DhNkeXri1lJ0RJiynYTDds6vrq37UcT-1bCZnhT8v9U2sH3vq4kpapedAIcEu4XZcxF8Fo3ICo/s1600/wadau.12.jpg)
Wadau wakiwa wanafuatilia kwa makini Burudani iliyokuwa inatolewa na Msanii wa Nyumbani wa Lindi Nasoz juu ya jukwaa la Miss Lindi 2014 tarehe 6/2014 ndani ya Lindi Oceanic Hotel.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSwJkJnvNckjvavrqcKtN8BuFmRmrB6pcyz9blSJqKyL4uxy3-GNfcObTNDzwhHb7WaoeMCNwV6maQ94WdWZWW-ARGCwphaZIJSoCvs_-Vb0uMbVFxhotgoRhL8Env-CIwHuHkRoAWl08/s1600/Warembo+Tano+Bora.2.jpg)
BAADA YA BURUDANI HIZO WASHIRIKI WALIULIZWA MASWALI NA KUHITAJIKA KUYAJIBU KWAMUJIBU WA UFAHAMU WAO
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh58tiahTRxOrjRNkeDiK4o7J34O9ZiAjGqBOPPo91zey4HpWpewmG1gGyb0zctxh0uDaTgic3q-dIpnKLIoMpkmXg0GrEyLaxutH8ViCwjPUBV9eWFwRbxkSLMftUrRvU5UXyP_qd0ekM/s1600/Mshindi.jpg)
HATIMAE MSHINDI ALITANGAZWA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOx6eXtmXX17tyYzogTlmKkbrgGx8Usklu0KGq8UHQ-rsVyuwRnzSrrR1WNBFJ1VKR9edzJGi6EBR079wF3JpnPaN3lAuEYj195ITQpU80gYUDArrlqb5CKhb0X_Qh3WWzX0ySQY0aRi0/s1600/Ukodaki+kama+kawa.jpg)
WATU WAKIFANYA UKODAK MARA TU YA KUTANGAZWA MSHINDI WA MISS LINDI 2014
HONGERENI MMEPATA MISS KIMEO
ReplyDelete