SIMBA SC YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA WAKATAMIWA MTIBWA SUGAR

Wekundu wa Msimbazi Simba leo January 18 2017 ilisafiri hadi uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kucheza mchezo wao wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017.
Mtibwa Sugar Vs Simba Sc
Simba wameshuka katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar na kujikuta wakikabiliwa na wakati mgumu na kulazimishwa sare tasa, sare dhidi ya Mtibwa imewafanya Simba kusogelewa kwa karibu na Yanga katika msimamo wa VPL.

Matokeo hayo yameifanya Simba kuendelea kuwa kileleni wakifuatiwa na watani zao Yanga ambao jana walipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Majimaji, ila kwa sasa Simba wamepunguza tofauti ya point na Yanga na sasa wameizidi Yanga kwa tofauti ya point mbili pekee baada ya sare dhidi ya Mtibwa.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post