Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo.
Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.