HIVI NDIVYO WAYNE ROONEY ALIVYOSHEREHEKEA REKODI YAKE YA MAGOLI 250 MAN UNITED

Wayne Rooney
Baada ya kuivunja rekodi ya muda mrefu ya Sir Bobby Charlton’s ndani ya Manchester United katika mchezo wake wa jana ambao alifikisha jumla ya magoli 250, Wayne Rooney alisherehekea rekodi hiyo kwa kumlisha mtoto wake mdogo kit.

Kupitia tweet ambayo imepostiwa na mke wa Wayne Rooney, Coleen inamwonyesha Rooney akiwa amembeba mtoto wake mdogo Kit, huku akiwa amezungukwa na watoto wengine, na ndani ya picha hiyo imesindikizwa na ujumbe wa “Celebrations tonight…A Take away, The Voice and Kids hanging off his neck.”

Hata hivyo Wayne Rooney licha ya kuwa na rekodi hiyo kubwa inamfanya kutochoka kuwashukuru mashabiki wake ambao wamekuwa wakimsapoti toka mwanzo hadi alipofikia sasa kwenye rekodi hii.
Ukiachana na mafanikio yote aliyoyapata kwenye klabu hiyo, Sir Alex Ferguson aliamua kufunguka mengi kuhusu Wayne Rooney na kusema kwamba “I would like to say huge congratulations to Wayne on reaching this milestone, Wayne thoroughly deserves his place in the history books of this great club and I am sure that he will go on to score many more goals.”
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post