Msanii mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya Dully Sykes ameachia wimbo wake mpya kwa Mwaka mpya 2017 baada ya kumaliza vyema mwaka 2016 na Kibao cha "INDE" alichomshirikisha Msafi kutoka WCB Wasafi msanii Harmonize.
Kibao hicho kipya kimepewa jina "YONO" Kisikilize na ukipenda kipakue hapa Chini.
Kibao hicho kipya kimepewa jina "YONO" Kisikilize na ukipenda kipakue hapa Chini.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.