TAARIFA ZA KUFUKUZWA KWA KOCHA WA YANGA GEORGE LWANDAMINA ZA KANUSHWA

Leo Alhamisi ya January 12, 2017 imekuwa ya kipekee kwa kusambaa kwa Taarifa zisizo rasmi za kutimuliwa kazi kocha wa Yanga George Lwandamina.
George Lwandamina
Taarifa hiyo ilieleza kuwa Kocha huyo amefutwa kazi kutokana na maendeleo mabovu ya Timu hiyo tangu achukue mikoba hiyo toka kwa Hans Van Pluijm na kupelekea Kupata vipigo vikali kutoka kwa timu pinzani katika Mashindano ya Muungano Cup 2017.

Kwamujibu wa page ya Naipenda Yanga katika mtandao wa Facebook imekanusha vikali taarifa hiyo na kueleza kuwa Taarifa hiyo inakusudi la kuwachanganya Mashabiki na Wana Yanga. 

Hivyo imeeleza kuwa taarifa hiyo ipuuuzwe na Kocha George Lwandamina bado ni kocha halali wa Timu hiyo na ataendelea na majukumu yake kama kawaida.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post