Unknown Unknown Author
Title: VERA SIDIKA AWASHTUA MASHABIKI INSTAGRAM KWA KITENDO HICHI...!!! MASHABIKI WATOA MAONI YAO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hakuna ubishi kuwa unapomuona mtu akiwa katika muonekano tofauti na uliouzoea au uliowahi kumuona nao lazima utabaki kumuangalia mara mbil...

Hakuna ubishi kuwa unapomuona mtu akiwa katika muonekano tofauti na uliouzoea au uliowahi kumuona nao lazima utabaki kumuangalia mara mbili mbili mpaka pale atakapotokomea.
Vera SidikaMrembo wa Kenya Vera Sidika amekuwa akifahamika kama kinara wa kuvaa vivazi vya ajabu huku akiachia sehemu kubwa ya maumbile yake yakiwa wazi huku vidume wakimmezea mate kwa kumtamani kwa vile alivyoumbika.

Lakini hali imekuwa tofauti kwa mrembo huyo baada ya Jumanne hii kupost picha katika mtandao wa Instagram akiwa akikatiza katika mitaa ya Dubai huku akiwa katika vazi la baibui ambalo watu hawajazoea kumuona akiwa amelivaa.

Instagram ya Vera Sidika
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki katika picha hiyo.
ibtyzam: You look good in abaya😍

zushali: Looking lovely habibty @queenveebosset


phenita_don_pocahantas: Si ww ni hilo buibui Dada


zayforeverbzn: Cjawahi coment but you look amaizing gal

danladi_humphrey_: Wow hajiya you are always frequenting Dubai nice pic

aabdibashir: Looking beautiful buibui imekutoa kweli ,imeweza vera
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top