VIDEO YA PRESS CONFERENCE YA DIAMOND NA JAH PRAYZAH ZIMBABWE ICHEKI HAPA
byUnknown-
0
Katika maandalizi ya show yake ya Watora Mari mjini Harare, Zimbabwe, Diamond na mwenyeji wake, Jah Prayzah walizungumza na waandishi wa habari. Chini ni video ya mkutano huo.
**********
MCHEKI MADEE AKITOLEA UFAFANUZI WA KOLABO YAKE NA TEKNO
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...