Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” SEHEMU YA NNE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 4 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana.. Furaha kubwa ikanitawala coz mlimb...

clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 4
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana..
Furaha kubwa ikanitawala coz mlimbwende wangu helleiner alikuwa njiani anakuja hivyo wazo la michelle sura mbaya likafutika, nikiwa bado maeneo ya pale magomeni mapipa mara nilishangaa naguswa mabegani ile nageuka nyuma yangu,
"jeff unakwenda wapi sasa..? Nakupigia simu hupatikani mpenzi..?"
Oooh my God, alikuwa ni Michelle sura mbaya na aliniona nilipokuwa...
Songa nayo..
“Nani Jeff..? midada mingine sijui vipi imetoka uko na miarufu ya kikwapa inavamia vamia tu..?”
Nilimkazia kwa jicho la kigumu kana kwamba simfahamu.
“Jamani Jeff kwahiyo ndio umeamua kuutesa moyo wangu mpenzi..?”
Sikuwa hata na chembe ya huruma. Ilinibidi kujiondoa ile sehemu asije helleiner. Niliondoka lile eneo huku nikimwacha Michelle sura mbaya akiendelea kunishangaa kana kwamba ni kweli kanifananisha.
“Jeff?? Jeff? Utaona wewe si mjanja? Umeniitamwenyewe tukutane halafu sasa hivi unajifanya hunijui siyo enhh?”
Michelle sura mbaya aliendelea kulalamika kwa sauti ya kupaza hali iliyofanya eneo lote wamshangae kwa makelele aliokuwa akiyatoa. Sasa macho yangu yakawa yameonana na nyumba ya pembeni nikaingia moja kwa moja nakujifanya naijua hiyo nyumba. Moja kwa moja mpaka eneo la uani nikatoa simu yangu nakumpigia mlimbwende wangu Helleiner.
“Hello beiby umefika wapi?”
“Jeff mie ndio nakaribia kushuka muda wowote kuanzia sasa nitakuwa hapo kituoni, si umesema magomeni mapipa..?”
“Ndio niko hapa nakusubiria mpenzi..”
Nilitoka kwa machale uku nikiangalia pande zote huku na kule nakumuangalia kama michelle sura mbaya ameondoka kwa maana angeharibu sherehe yangu ya leo. Mpaka nakaribia kituoni sikumuona michelle sura mbaya. Kidume nikaweka pozi kusubiria, mara simu ikaita haraka haraka hata sikutaka kuangalia namba.
“Helleiner jamani umeshashuka..?”
“Shhhhuuuuu*&&^%$, umenichokoza sasa utanijua pumbavu zako lazima ulale na mimi tu ”
Nilipokea fyonyo la haja. Sikutaka kuamini macho yangu kama ni Helleiner ndio ameniambia maneno hayo. Nikakaa kimya nakuisogeza simu yangu mpaka usoni nakuangalia kama ni kweli Helleiner wangu.
“Ahaaa haaa haaa hili gogo nilipeleke wapi Jeff mie..”
Nilicheka kwa sauti ya juu hali iliyofanya abiria wote pale kituoni wanishangae. Hakuwa Helleiner bali alikuwa ni Michelle sura mbaya akinipigia simu. Niliikata simu yake. Kitendo cha kurudisha tu simu mfukoni nikashangaa kuguswa bega.
“Michelle niache nakwambia..”
Niling’aka kwa sauti ya juu lakini hakuwa Michelle kama nilivyodhania.
“oooh My beiby Helleiner..!!”
Helleiner akanisukuma. Nikamrudia kwa lengo la kutaka kumkumbatia.
“Michelle ndio nani Jeff”
“ Ahhh haaa Helleiner, huwa napenda sana kumfanyia surprise mchumba wangu. Na hii ni kama surprise kwako. Hilo jina la Michelle hata silijui limenitoka tu akilini na yote hiyo nikupime tu una haisra kiasi gani..? kweli nimeamini unanipenda na ndio maana una wivu na mimi”
“haya mpenzi wangu twende sasa huko beach..”
“Poa tuchukuwe daladala ya kivukoni ndio itakuwa rahisi kufika mikadi beach”
*********
Mwendo wa nusu saa ulitosha kabisa kwa mimi na kipenzi changu Helleiner kufika mikadi beach. Tulijikuta wote kwa pamoja kufurahia mandhari ya upepo wa bahari.
“My love, hapa itatubidi tuogelee”
“mmh mie Jeff ni muoga sana wa maji!”
“Anhhaaa Helleiner wangu acha kkuniaibisha basi.. Leo hapa hakuna hata watu wengi zaidi ya sisi na wengine wale kule tena mbali tu. Haya vua nikufundishe kuogelea..”
Helleiner akavua nguo zake zote nakubakiwa na kichupi tena kichupi chenye muundo wa bikini. Juu akabakiwa na sidiria yenye mikanda ambayo ilikuwa ikiyaacha maziwa yake nusu. Kidume nikavua nguo zote na kubakiwa na kikaptura cha ndani (boxer). Kwakuwa mazingira yale hayakuwa na mtu. Tukaziweka nguo zetu pembeni kisha nikamvuta mtoto Helleiner mpaka ndani ya maji.
“Jeff maji yabaridi sana jamani..? halafu ona yale kule mengine yanakuja kasi, aku mie sitaki bwana Jeff!!”
Helleiner alikuwa mbishi lakini mbele ya play boy mimi Jeff Ryder alitulia. Nilimweka kifuani kisha nikasonga naye ndani ya maji huku tukifurahia raha ya maji. Mwili wangu wote ukaonesha kuingiwa matamanio kwa asilimia mia. Tukasonga na maji nakuelekea sehemu ya mbali mbali ambayo mtu hawezi kutuona tunachofanya. Nikajikuta moyo ukiifosi akili kutaka kufanya mapenzi na Hellleiner ndani ya maji.
“Helleiner?”
Nikaita kwa sauti ya kimahaba huku Helleiner nikiwa nimemshusha tumekumbatiana.
“Abee”
“I love you, nakupenda san asana!”
“Jeff huna mwanamke mwingine”
“Hapana na ningekuwa naye kwa sasa ungenikuta tayari nipo naye hapa beach. Wewe ndio niliokuchagua ndani ya moyo wangu. Nakupenda.”
Niliyakakamua machozi mithili ya filamu zetu za bongo movie. Nikayatoa machozi haswa kumshinda hata yule muigizaji wanayemuita Riyama. Kidume nikausogeza mdomo wangu mpaka karibu ya mdomo wa Helleiner. Helleiner akaonekana macho kumlegea sana. Akaukubali mdomo wangu nakusaidiana kuzinyinya ndimi. Kidume mimi mwili wote ukanisisimka nakujiona niko dunia nyingine. Nikautoa mkono wangu mabegani mwa Helleiner nakuusogeza mpaka katika eneo lake la sehemu za siri nakuanza kuzitekenya.”
“Jeff, jeff Jeff stoooooop”
Helleiner alitumia nguvu za kike za kuutoa mkono wangu katika sehemu zake za siri.
“Jeff siko tayari kufanya mapenzi kabisa”
“Helleiner hivi kweli unanipenda? Nimeshakukabidhi moyo wangu na hapa unaponiona sijawahi hata kuujua mwili wa mwanamke maishani mwangu mie..”
“Sawa nimekuelewa lakini siku nyingine tutafanya tu..”
Niliona kama ananipotezea muda. Nikachukuwa mdomo wangu nakuanza kumnyonya ndimi zake. Nikamlegeza haswaa akalegea.
“Jeff una kondomu”
“Beiby kwenye maji kondomu za nini tena na hata hivyo unamaana huniamini siyo, mbona mimi nakuamini..?”
Niliendelea kumfosi lakini bado akaonesha na msimamo.
“Haya Jeff nimekubali kufanya mapenzi na wewe lakini siyo hapa..”
Kidume mimi nikajiangalia vizuri nikafurahi na moyo wangu mtoto kuingia katika kumi na nane zangu. Akili yangu ikawa sawia na ufunguo wa ghetto kwa mshkaji ambao niliuweka ndani ya suruali. Nikajipa msemo kichwani mwangu kuwa ‘kuku wa kwangu mwenyewe manati ya nini?’
Tukatoka ndani ya maji nakuelekea sehemu tulipokuwa tumeziacha.Tahamaki! hakukuwa na nguo hata moja katika eneo lile. Si Helleiner wala mie tulikuwa tumechanganyikiwa kwa kushikwa na butwaa.
"jeff.. ona sasa yote umeyataka wewe...?"
"...helleiner tuache kulaumiana huu si wakati wake.."
Kiukweli helleiner alikuwa akilia sana tena kwa sauti ya juu huku kwikwi ikimbana, mara akatokea mshikaji mmoja tena alikuwa anaonesha ana haraka ya hali ya juu..,
"...samahanini jamani,tena nawaombeni radhi.., nilikuwa mbali na hapa.."
"...oyaa samahani yanini tena mwana...?"
"...mimi ni muhusika katika eneo hli la beach..."
Kabla hajamalizia kuongea nikamwahi hapo hapo na swali..,
"kwa hiyo nguo zetu zipo wapi...?"
"...nilizichukuwa na nikazifungia mule ndani ila msijali viko salama tu..."
Tuliongozana naye mpaka eneo alilohifadhi nguo zetu.., yani hatukuweza kuamini kabisa kwani vitu vyote tulivikuta hivyo tukavaa fasta fasta,
"...jef nakupenda sana...!"
"..hata mi nakupenda helleiner pliz tudumishe penzi letu..."
"..kwahilo tu usijali mpenzi jeff kuanzia sasa utafuahi tena sana tu.."
Nilifurahi kimoyo moyo huku nikijipa uhakika sasa tayari namiliki kifaa na tena kifaa chenyewe ni mtoto helleiner.
"...beiby sasa hivi ni kama saa 12 hivi so tunaelekea home kwangu kama tulivyoongea au...?"
"..hapana jeff nimechelewa sana nyumbani,lakini usijali tutakwenda siku nyingine mpenzi..."
"...aaah helleiner japo mara moja upajue tu then mi ntakusindikiza mpaka kwenu nipajue vizuri..."
"jeff kwa kung'ang'ania tu..? Haya twende.."
Mzee mzima nikawa nimeshajiwekea uhakika tukishafika tu itakuwa kosa kubwa kumwacha nisi sex naye,nikajisachi ufunguo huku na kule mara eeh siuoni, akili ikaanza kunichemka kila nikijisachi mifukoni sioni kitu ikanibidi niulizie kwa yule mtu aliyetuhifadhia nguo zetu,
"...oyaa mwana nilikuwa nimeweka funguo kwenye suruali mbona siuoni..?"
"funguo...? Embu jisachi vizuri bhana..!"
Nilijicheki tena lakini sikuuona,
"aaah powa nimekumbuka ninao wa ziada nyumbani.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika mkono helleiner wangu nakuondoka naye,nilipofika mbali kidogo yule jamaa aliniita,
"..oyaa mwana samahani tena nakuomba mara moja sorry sana.."
Ikanibidi nimsikilize,
"..mwana sorry, alikuja demu wako hapa akadai kuwa anaitwa michelle mwavua na akasema nimpe tu ufunguo atangulie nyumbani mtamkuta nyie niwaache muendelee kuogelea tu...!"
"unasemaje...? Whaaaaat...? Embu huyo demu alivaaje...?"
"Suruali ya kitambaa nyeusi na tisheti nyeupe.."
Dah nilivyoelekezwa ni vile vile alivyokuwa leo mchana, lakini nani atakuwa amemwambia nina ufunguo na hata getto kwa mshikaji amepajuaje..?
Nilijiuliza sana bila kupata majibu kiukweli michelle sura mbaya alikuwa ameshaharibu siku yangu,
"...aaaahh lakini mi ndo jeff ryder bhana na ole wake nimkute huko nitamuharibu sura yake mara mbili alivyo pale...?"
Niliongea peke yangu chini chini huku nikimfuata helleiner na kuondoka naye mpaka magomeni getto kwa mshikaji..
~ Ndani ya Nusu Saa ~
Tulikuwa tayari tumeshaingia ndani ya magomeni mapipa huku breki ya kwanza getto kwa mshkaji na kwa bahati nzuri nikamkuta yupo nje kwenye kiduka,
Aliponiona na helleiner tu akanivuta kwa pembeni na kuninong'oneza kitu.
"..oyaa jeff kuna demu wako mwingine amekuja yupo chumbani amesema anakusubiri umekwenda beach na umemwachia ufunguo atangulie..."
"umesema...?"
"ndo hivyo mwana.."
Nilijihisi kuchanganyikiwa..,nilimwacha helleiner pale nje na mshikaji huku nikiingia ndani nakumdanganya helleiner,
"baby wacha niingie ndani niwashe taa then nitakuita si unajua naishi alone brother angu ninayeishi naye bado yupo kikazi south africa.."
"kwani funguo ulizipata...?"
"usijali nilikuwa nazo za akiba.."
Nilimdanganya nakuingia ndani huku nikimwacha na mshikaji wangu pale nje, nilifungua mlango vizuri tu kwani haukuwa umefungwa moja kwa moja mpaka chumbani na nilipofika tu nikawasha taa nakumshuhudia michelle sura mbaya akiwa uchi kama alivyozaliwa huku akionesha kupitiwa na usingizi..,
"we michelle...? Unafanya nini hapa embu ondoka, tena toka kabla sijakutoa uchi humu ndani..."
"...jamani jeff embu punguza hasira mpenzi mbona hivyo..."
"nani mpenzi wako..?, mshenzi nini we.., kwanza mi ni hadhi yako enhe..? Si naongea na wewe enhe..?"
Nilikuwa na hasira kali lakini michelle sura mbaya hakuonesha kukasirishwa kwangu,akasimama nakunikumbatia huku chuchu zake zikichoma kifua changu,
"...niache michelle nimesema niaaaaache..!"
"..jeff.., jeff nakupenda sana mpenzi wangu..."
Kusema hivyo tu kidume mimi nikaanza kulegea hivyo nikajikuta namkumbatia kisha michelle sura mbaya akanivua nguo zangu,
Nilimparamia huku akilini nikijiwekea picha fulani kama vile na sex na Jlo au beyonce..,
Nili sex naye kwa nguvu zote bila kuchoka mpaka nikamaliza bao la kwanza nikamlalia hapo hapo kifuani mwake nikihema juu juu.., japokuwa ni mbaya wa sura na umbo lakini alikuwa na matiti mazurii na anajua kusex mbayaa nadhani atakuwa alifundwa maana hivyo viuno vyake duh..
Tukiwa bado tunasex mara nikasikia sauti,
"..we jeff..? jeff..? leo tu umeshanisaliti..?"
Maskini ilikuwa ni sauti ya helleiner tena ikitokea dirishani kwani alikuwa anatuchungulia na dirisha lilikuwa halijashushwa pazia na mbaya zaidi taa ya chumbani nilivyoiwasha nilipoingia tu,
"..helleiner nooou..! Usiondoke pliz.."
"jeff sitaki tena kukuona hata kukusikia kuanzia sasa.. Utaniua jeff..! Magonjwa mengi jeff..! Kaa na huyo huyo mi kwangu sikutaki teena..!"
Nilijikuta natoka uchi mpaka nje bila kujali chochote na kabla sijafika nje niliwahiwa na michelle sura mbaya,
"...achana naye twende zetu chumbani tukaendelee jeff mpenzi.."
Nilijikuta namchapa bonge la kibao michelle sura mbaya, kwakweli alikuwa amekomaa kweli hakusikia chochote zaidi ya kuendelea kunivuta kuelekea chumbani...
"..michelle noou..! nimesema noou..! sikutaki tokaaa.."
Hakusikia chochote zaidi ya kunipa mdomo wake niunyonye...
"..nimesema niache michelle..?"
"...lakini yote haya umeyataka we mwenyewe jeff.."
"..unasemaje..?"
Nilimwangalia kwa jicho la dharau huku mdomo wangu nikiukaza kuonesha kweli nina hasira tena mithili ya kuku anapopokonywa kifaranga chake na mwewe.
Nilienda mpaka chumbani huku michelle sura mbaya akinifuatilia kwa nyuma,nilipofika tu nilivaa nguo zangu fasta,
"...haya na wewe uvae fasta hapa unadhani kwenu...? Vaaa nitakuacha hivyo.."
"..Noo jeff usiniache..."
Alivaa kisha nikafunga mlango nakumpa mshikaji ufunguo na baada ya hapo ni mwendo wa fasta fasta kuelekea stendi kwani nilikuwa nikiishi tandale tena ile ya wachafu haswaa,ile tunafika tu kituoni pale magomeni mapipa kwa mbaali nikamwona helleiner tena ndio anapanda gari,
"...helleiner..? helleiner pliz nisubiri...!"
Maskini hakusikia sauti yangu lakini nilichokifanya,
"...michelle mpenzi kwaheri, tutawasiliana kwenye simu..."
"...usijali jeff nakupenda na roho yangu imeridhika leo, nikifika tu nyumbani ntakujulisha..."
Nilitoka spidi zote mpaka kwenye ile gari aliyokuwa amepanda helleiner ambayo ilikuwa inaelekea makumbusho ikipitia mwananyamala, nilimkuta helleiner kakaa siti ya peke yake nami nikatulia pembeni yake huku nikianza kumbeleza bila kujali umati wa abiria waliokuwa wananitolea macho.."
"...helleiner mpenzi jua bado nakupenda pliz nisamehe kwa yote yaliotokea.."
"...akusamehe nani..? Jeff nilishakwambia sitaki kuiona sura yako husikii...? Mwanaume gani hufai wewe...?"
"...helleiner pliz pliz najua mi nimkosaji lakini pia nahitaji kusamehewa mpenzi.."
Muda wote huo helleiner alikuwa kabadilika sura na macho yake yalikuwa mekundu sana kwa kulia sana huku machozi yakiendelea kumtoka bila kuyafuta, mara konda akapita anataka nauli nikatumia ujanja wa fasta kuchomoa buku mfukoni mwangu nakumpatia konda,
"...kata wawili konda mi na huyu dada hapa.."
Helleiner aliniangalia kwa mshangao wa hali ya juu huku akiitazama pochi yake nakuchomoa mia tano kisha akampatia konda..
"..dada si umeshalipiwa na mshika hapa..."
"..sitaki kulipiwa nimesema chukuwa nauli yangu nipe na chenchi yangu kabisa..."
Kweli helleiner alikuwa seriaz lakini nilijipa moyo nakushuka nae mpaka aliposhukia na kilichofuatia nikumfatilia nyuma nyuma mpaka akafika nadhani ni kwao kwani alifungua geti kwa hasira nakuingia mpaka ndani huku akirudishia kwa kulibamiza.
"..ahhh....! kumbe ndio kwao hapa enh.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijirudia zangu stendi kupanda gari.
Akili yangu ilikuwa kama imechanganyikiwa kidizaini kutokana na kuchezea bahati tena kwa mtoto mlimbwende kama helleiner,
Nilipokuwa ndani ya daladala nikapata wazo lakumpigia simu lakini ilikuwa inaita tu bila kupokelewa hivyo nikabadilisha tena wazo lakuingia facebuk,maskini jef mimi sikufanikiwa kuiona hata profile yake hivyo nikaingia inbox yangu ili niweze kuona meseji zake za zamani nazo sikuzipata ikanibidi nim search kwa jina lake napo halikutokea hivyo akili yangu ikanituma moja kwa moja kuwa keshani toa kama rafiki au kuni block lakini sikulitilia maanani nikaendelea mpaka nikaingia profile ya michelle sura mbaya,nikakutana na status aliyoiandia muda c mrefu,
'..LEO NINA RAHA, NILIYEMPATA KANIRIDHISHA VYA KUTOSHA...'
Niliangalia mara mbili mbili nakuanza kufuatilia comment za watu ndipo nikakutana na comment ya helleiner,
'..Hongera Shosti usimwache tena hakikisha mpaka amekuoa kabisa...'
Hasira kali zilianza kunipanda huku nikiwa sijiamini amini kwa nilichokiona.
".....kumbe helleiner ni mutual friend kwa helleiner sura mbaya..?"
Nilijikuta naropoka kwenye dala dala nakufanya umati wa abiria kunitolea macho,
"..helleiner kitu gani bhana nitampata mwingine tena zaidi yake.."
Bado nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa huku wengi wa abiria wakinitolea macho na kutingisha vichwa vyao kuonesha kuwa wananisikitia na ninachoropoka....

***** Jeff anaonekana kupoteza bahati kwa Helleiner..?? ni kweli atampata tena??

**** Inaonekana Helleiner hajam block wala kumtoa urafiki Jeff itakuwa sababu ya kumpima tu Jeff..? kwanini Michelle sura mbaya kaamua kufanya vile..?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top