BRAND NEW VIDEO MUSIC | TONIGHT BY R2BEES FT WIZKID | WATCH & DOWNLOAD

R2Bees ft. Wizkid - Tonight | Lindiyetu.com
Kundi la muziki la R2Bees la Ghana lililo chini ya label ya Starboy, limeachia video ya wimbo mpya, "Tonight" likiwa na bosi wao, Wizkid. 

Wimbo umetayarishwa na Legendury Beatz na video kuongozwa na Sesan.


*********
MCHEKI MADEE AKITOLEA UFAFANUZI WA KOLABO YAKE NA TEKNO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post