VIDEO:: DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOIPAFOM KIZAI ZAI KATIKA MIONDOKO YA SEBENE
byUnknown-
0
Disemba 24, iliandikwa Historia Mpya kutoka katika Lebo ya WCB ambapo waliweza kukonga nyoyo za Mashabiki zao wa Jiji la Dar es Salaam na Viunga vyake, Najua ushaona Video nyingi za Show Hiyo ila Hii hapa niliyo kusogezea Leo ni Sebene la Kufa Mtu ya nyimbo ya KIZAI ZAI ambayo Mtu mzima Diamond Platnumz aliweza kuiperform Pale Jangwani Sea Breez. Nisikumalizie Uhondo Bofya Play Hapa Chini Kushuhudia WASAFI waki fanya Yao.
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga naYoutube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...