
Baada ya Kufanya poa katika ngoma ya Mazoe yake RAMA DEE msanii wa Kisingeri YOUNG YUDA ameachia Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la MAKOPO, Video imefanywa na Muongozaji Lufunyo BM.
Enjoy.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Tags
VIDEOS