USIKUBALI KUPITWA NA FILAMU HII HAPA "KIUMENI" NI HATARI TUPU

Baada ya Kufanya vizuri katika filamu ya "Going Bongo" Msanii wa filamu nchini Ernest Napoleon anakuja na Project Mpya aliyoipa jina "KIUMENI".
KIUMENI
Humo ndani utawaona Mastaa kibao kama Muhogo mchungu, Idriss Sulatan (Big Brother Winner), Irene Paul (Kibajaji) na Ernest Napoleon (Going Bongo).

Kama ilivyo ada yetu Lindiyetu.com Hatutaki upitwe na Kitu chochote, Tumekusogezea Kionjo cha Filamu hiyo ambayo inatoka Hivi karibuni.

Enjoy.


********************************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post