MSANII DARASA APATA AJALI YA GARI, TAZAMA VIDEO HAPA

Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Darasa hit Maker wa Single ya MUZIKI amepata ajali mapema leo akiwa anatoka Kahama akirejea jijini Dar es Salaam, Darasa alikuwa ameongozana na Muongozaji wa Video nchini Hanscana.
Darasa
Lakini Taarifa alizozitoa yeyemwenyewe darasa kupitia mtandao wa Twitter amesema hakuna aliyeumia katika ajali hiyo.

Ajali ya Darasa
Hii ni tweet ya Msanii huyo.
"Nimepata ajali MBAYA Kwenye mazingira mazuri lakini Niko Salama! CAN I GET AMAN FOR THAT"- @Darassa_cmg

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post