MDAU SWAFAHA MAHINYA AMEREMETA

swafaha mahinya

Ikiwa ni Jumapili ya Disemba 18, 2016. Mdau wangu wa nguvu Swafaha Mahinya ameamua kuingia katika Ulimwengu wa wanandoa baada ya Kufunga ndoa na aliyekuwa Mchumba wake wa mda mrefu Ndg Abdallah Salum.
swafaha mahinya

Lindiyetu.com inakutakia Maisha Marefu yenye Baraka Tele katika Uhai wa Ndoa yenu na Mungu awape subra Pale panapotokea Hitilafu ndani ya Nyumba yenu.
swafaha mahinya

KILA LA KHERI SWAFAHA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post