BRAND NEW VIDEO MUSIC | GIVE IT TO ME BY BELLE 9 FT GNAKO | WATCH & DOWNLOAD

Belle 9 ft G-NAKO - GIVE IT TO MEBaada ya Kutesa na Kibao cha "Burger movie selfie"  Mkali kutoka Mji Kasoro Bahari Morogoro Belle 9 ameachia Ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "GIVE IT TO ME" ambamo humo Ndani ameshirikishwa mtu mzima G-NAKO.

Video hiyo imetayarishwa nchini Afrika kusini na Muongozaji wa Video hiyo ni Nicroux wakati Mdundo umetayarishwa na LUFFA.


Enjoy


****************************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post