HAKIKA SASA KIUNO BILA MFUPA (RAY C) KARUDI KWENYE UBORA WAKE, TAZMA PICHA ZAKE MPYA

Rehema Chalamila
Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamila aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki.Ray C
Muimbaji huyo ambaye inasemekana ameweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu,wiki chache zilizopita aliweka kambi ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake mpya.

Wiki hii amepiga picha zake mpya zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa kihindi. Angalia picha.
Ray C Ray C Ray C Ray C
________________________________________________________________________________
  • MFAHAMU ZARI THE BOSSLADY NI NANI KATIKA HII VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post