TUNDA AHUSISHWA NA KUSAKWA KWA YOUNG DEE NA POLISI, UBUYU WOTE UPO HAPA

Young Dee na Tunda
Tumepenyezewa za chini ya carpet kutoka kwenye shirika la wambea Duniani Shilawadu kumuhusu hitmaker wa ngoma ya "Furaha" Young Dee kuwa yuko hatarini kuwekwa katika mikono ya jeshi la Polisi.

Sababu zinazosemekana kuwa ndio chanzo cha rapper huyo kutafutwa na polisi ni kuwa amefuta account ya mtandao wa Instagram ya anayesemekana kuwa ni mpenzi wake, bibie Tunda.
Nyumbani kwa Young Dee
Zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha maafisa wa polisi wakiwa nyumbani kwa rapper Young Dee na ndipo hapo mizozo ikaanza kuzuka na habari kusambaa kila kona.


Soudy Brown amepiga story na Young Dee kwenye U-Heard ya leo December 27 na majibu yote yapo kwenye video hii hapa chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post