BRAND NEW VIDEO MUSIC | TOGETHER REMIX BY SPICY X LADY JAYDEE | WATCH HERE

Ile Couple Mpya inayo Make Headlines kwa sasa kati ya Mbibo Lady Jaydee na Mnageria Spicy imekuja na Matunda haya.
Lady Jaydee na Spicy
Leo Desemba 14, 2016 Couple hiyo imeachia wimbo wa Pamoja huku wimbo huo ukipewa Jina “TOGETHER” ikiwa ni REMIX.

Icheki Video Hapa Chini kisha Acha Koment yako.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post