True Boy kutoka Manzese Dar es Salaam Nay wa Mitego anacho kipya cha kukufikishia leo hii wewe shabiki wake na mpenzi wa muziki wake.Kutoka katika studio za Free Nation ambazo zinamilikiwa na mkali huyo ndio sehemu ambayo imefanyika ngoma hii mpya ambayo inaitwa "Sijiwezi".
Enjoy
***********
Tags
MUSIC NEWS