BRAND NEW VIDEO MUSIC | PARTY BY CHRIS BROWN FT GUCCI MANE & USHER | WATCH HERE

Chris Brown - Party ft. Gucci Mane, UsherThe Multy Talented Artist Mnyamaa mkali Chris Brown baada ya kudropisha Chupa la “Grass Aint Greener” Mwana Dzain yuko busy kukamilisha Album yake inayofuata itakayo kwenda kwa jina la Hearbreak On A Full Moon.

Na hii ni Pini mpya itakayopatikana katika hiyo album inaitwa “PARTY” Breezy ameona isiwe kesi kama akimpa shavu Usher na Rapper Gucci Mane kukamilisha hili Pini kuwa la Kinyamaa..

Lindiyetu.com imekusogezea Chupa hilo kama vip ruka nalo kulicheba, mziki flani hivi Fun Vibe, Ukienjoy tupia neno lolote chini.

*****************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post