U- HEARD DISEMBA 28, 2016 MATONYA NA SKENDO YA KUMTAPELI MPEMBA

Shilawadu wamezinyaka za kustaajabisha kumuhusu mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Matonya kuhusu malalamiko ya kutapeliwa kutoka kwa Ally Stily mwenye makazi yake huko Unguja Zanzibar.
Matonya
Ally anadai kwamba yeye na Matonya walifanya biashara ya kuuziana gari aina ya Mark X kwa makubaliano ya bei ya kiasi cha shilingi za kitanzania million 12 lakini hadi sasa Ally anadai kupewa kiasi cha shilingi millioni 7 tu!

Ally amepiga story na Soudy Brown kwenye U-Heard ya leo December 28 na kufunguka dukuduku lake kuhusiana na mkongwe huyo wa muziki.

Ubuyu wote nimeukusanya hapa chini kwenye video hii, kazi imebaki kwako tu kubonyeza Play ili kumsikiliza Ally akitoa malalamiko juu ya Matonya.



++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post