BRAND NEW AUDIO MUSIC | MAMBO IPO HUKU BY BEST NASSO | DOWNLOAD/LISTEN

Best Nasso - Mambo ipo Huku | Lindiyetu.com
Mkongwe katika game ya muziki wa Bongo Fleva Best Nasso wiki chache baada ya kuachia wimbo wa “Wema Sepetu” ameamua kudropisha wimbo mwingine ambao kaupa jina la "Mambo ipo huku".

Ni maproducer wawili ndio ambao wamehusika kwenye utengenezaji wa ngoma hiyo, Love Toucher pamoja na Fido.


Enjoy
__________________________________________
  • Calisah Wema ni msichana mzuri na mwenye mapenzi ya kweli

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post