Unaikumbuka ile “Una akili wewe?” Ilikubamba eeeh!? Sasa hii hapa ni nyingine tena kutoka kwa wale wale Roma na Baghdad lakini humu wamempa mashavu mwanadada Snura.Inaitwa “K”, unaweza kuitafsiri vyovyote unavyo jiskia kuitafsiri lakini maana halisi ya K inapatikana kwenye ngoma hii.
Imetengenezwa na maproducer Abbah pamoja na Young Keez.
Enjoy
______________________________________
- X wa Hamadai anena haya Baada ya Kuachwa na Shilole
Tags
MUSIC NEWS