Mikono ya mtu mzima Nahreel wa The Industry ndio imehusika katika utengenezaji wa ngoma hii.
Ni G. Nako pamoja na Joh Makini wa Weusi ambao wamemshirikisha king of the best melodies Christian Bella. Ngoma inaitwa "Nijue". Enjoy
************
Fahari Ya Kusini
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.