
Na tayari list imetoka ya wasanii wamarekani watakao toa burudani kwenye jukwaa la usiku wa tuzo hizo za AMAs 2016 ambapo watakuwepo wasanii hawa…

The Weekend

John Legend

Ariana Grande & Nick Minaj

Shawn Mendes

James Bay

Fifthy Harmony

Lady Gaga

Bruno Mars

Twenty one Pilots

Green Day

Chainsmokers & Halsey
Drake ndio msanii mpaka sasahivi anayeongoza kwa kuchaguliwa kwenye vipengele 13 vya kuwania tuzo hizo akifuatiwa na Rihanna aliyeko kwenye vipengele 7, tuzo zitarushwa Live ABC , Nov 20 2016 saa mbili usiku.
Tags
HABARI KIMATAIFA