ALIKIBA NA VANESSA MDEE JUKWAA MOJA NA STAA HUYU WA MAREKANI WEEKEND HII HAPA

Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown.
Alikiba na Vanessa Mdee
Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.

Vanessa
“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocksfestival #Juu #Niroge,” ameandika Vanessa kwenye Instagram.

Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.
********************
TAZAMA SHOW YA DIAMOND MOMBASA KENYA ALIVYOKUSANYA KIJIJI CHAKE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post