ITAZAME HAPA VIDEO MPYA YA WIMBO "NISAMEHE" YAKE BARAKAH DA PRINCE AKIWA NA ALIKIBA

Barakah The Prince, Alikiba - Nisamehe
Video ya wimbo wa Barakah The Prince akimshirikisha kaka yake Alikiba, Nisamehe imetoka. 
Imeongozwa na Meji Alabi na ilifanyika Afrika Kusini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post