LINAH ADAIWA KUMNYAKUWA IDRISS SULTAN KUTOKA KWA WEMA SEPETU, JE HICHI NI KISASI?

Kipindi cha Nyuma Linah Sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni.

Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasi kwamba inasemekati eti masupastaa hawa ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!!
POST YA LINAH
Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea.......

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post