BRAND NEW VIDEO MUSIC || DABO - SEMA TENA || WATCH HERE
byUnknown-
0
Msanii wa Muziki wa Reggae nchini Tanzania ajulikanae kwa jina la DABO ameachia video ya wimbo wake "SEMA TENA", Audio imefanyika katika Studio za FLAVA PRODUCTION chini ya Produza Chrixtone huku video ikiongozwa na AZAZEL / THEMONXX. ITAZAME HAPA KISHA TOA MAONI YAKO.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...