DRAKE ANATAKA MTOTO NA RIHANNA....!!

Na tunathubutu kusema The Biggest Gossip kwa sasa mjini ni mpango wa Drake kuanzisha familia ya rnb staa Rihanna.
Drake na Rihanna
Taarifa kutoka kwenye jukwa la show ya Drake aliyofanya na Rihanna kwenye ziara yake ya Ovo inasemekana rapa huyu alikuwa wazi kwenye jukwaa na kusema anataka mtoto na Rihanna.

Kauli hii imemtoka Drake kwenye show ya saba ya OVO Fest kwenye ukumbi wa Air Canada Centre mjini Toronto, Canada.

Rihanna anatajwa kuwa na Drake kwa sasa baada ya kuachana na Travis Scott, pia aliwahi kuwa na Chris Brown.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post